TRANSFORM YOUR HOUSE TO A HOME

The magic thing about home is that, it feels good to leave, and it feels even better to come back.

THE ART OF COMFORT

The art of comforting starts with finding out what a person needs, with love, honesty, and respect, and then giving it to them.

OUR PRODUCTS

Have a look at our new products

TESTMONIAL

what our client say about us

Review

Dar Ceramic Center did an incredible job with my Kitchen remodel. Thank you so much

Daniela Dornard / Business Woman

Review

Absolutely phenomenal service, with quality and affordable price

larry Jackson / Manager

Review

Your Product is good

Ramadhani Shimbo / IT

Review

CABINET NZURI SANA, PACKAGING IS THE BEST TOO.

MAMA MOSI / CUSTOMER

Review

Bidhaa zenu ni imara sana, na zinadumu kwa muda mrefu.

ISSA / FUNDI

Review

Feedbacks

MAMA MOSI / CUSTOMER

Review

tiles nzuri sana

MR .ANDREW / CUSTOMER

Review

Mna bidhaa nzuri sana , Tunashukuru kwa kutuletea vifaa vya kisasa Dodoma.

MR GEOFREY / CUSTOMER

Review

Nimewahi kununua kitchen sinks miaka mitano iliyopita, kiukweli ziko vizuri sana, licha ya kua ninapokaa ni maji ya chumvi, lakini sink hazijaharibika ata kidogo. Mko vizuri.

HAMISI / CUSTOMER

Review

Your bathrooms accessories are classy and look so beautiful in my bathrooms.

SAUDA / CUSTOMER

Review

Tiles zenu ni nzuri sanaa.

KENZO / FUNDI

Review

Utaratibu wenu kila mteja kuwa na account yake ni mzuri sana hongereni

Benard Kimoso / Customer

Review

You have excellent team

Oscar Lekule / Customer

Review

the glue tiles and grout I brought from you, make my client to like my work and increase credibility. I will advise my clients to use grout and glue from dar ceramica

Fortes Africa ltd / Contactor

Review

Grout yenu ni nzuri sana kulinganisha na za kampuni nyingine.

ABDUL AYUBU / Fundi

Review

Napenda designs za mixer zenu za bafuni. Nina imani hazipati kutu pia kama mnavyosema.

CASSIAN VULUWA / Normal Customer

Review

Nimependa huduma niliyopewa kwenye usafirishaji wa mzgo wangu. Nimechangia gharama kidogo na nimefikishiwa mzigo kwenye eneo langu la ujenzi.

BRIGHTON NDOSSI / Normal Customer

Review

I LOVE YOUR PRODUCTS . VALUE FOR MONEY

UPUNDA G.L / CUSTOMER

Review

I LIKE YOUR TOILETS, ARE THE BEST

RUTH / CUSTOMER

Review

YOUR PRODUCTS ARE ALWAYS THE BEST. I BOUGHT FOR MY HOUSE MATERIAL FROM DAR -CERAMICA LIKE TOILETS,TILES AND OTHERS ALMOST 10 YEAS AND ITS STILL VERY NEW LIKE YESTERDAY. KEEP IT UP

ODILIA-RUHUWIKO HUNT CLUB / CUSTOMER

Review

YOUR PRODUCTS ARE ALWAYS THE BEST. I BOUGHT FOR MY HOUSE MATERIAL FROM DAR -CERAMICA LIKE TOILETS,TILES AND OTHERS ALMOST 10 YEAS AND ITS STILL VERY NEW LIKE YESTERDAY. KEEP IT UP

ODILIA-RUHUWIKO HUNT CLUB / CUSTOMER

Review

Dar Ceramica Centre, mna sanitary ware nzuri sana,zinadumu na muonekano wake unakua uleule ,ahsanteni

Hill / Manunuzi

Review

Tiles glue ni kitu kipya kwa ujenzi wetu watanzania. Binafsi nimetumia na nimeipenda sana.

Muktaza / Normal Customer

Review

Nilikuwa sina mpango wa kununua bidhaa lakini baada ya kuingia dukani nimejikuta nimevipenda vitu Hadi nikanunua

Modesta Kigutu / Customer

Review

Tumefurahi tumepata tiles yenye ubora tuliokuwa tunautafuta uongozi wa shule umefurahi sana

Lake secondary School / Customer

Review

your items are very nice. I love the quality of all the item and the explanation given to me on all the products were very understandable and clear

Mr / Theneyan

Review

vitu vyenu ni bomba sana. natamani ningewajua mapema. mmenifanya nifikirie kujenga nyumba nyingine ili nipate kila kitu kutoka kwenu hadi vyoo vya kuniny'inia (wall hung)

miss / Janetha

Review

thank you for the good service and delivery

Mr. deusdida / odinary customer

Review

BEST QUALITY PRODUCTS. WILL BUY ALL HOUSE PRODUCTS YOU HAVE THAT I NEED

EVA MASHALA / CUSTOMER

Review

GOOD CUSTOMER SERVICE AND PRODUCTS

ANNAMARRY / CUSTOMER

Review

GOOD CUSTOMER SERVICE AND PRODUCTS

ANNAMARRY / CUSTOMER

Review

YOUR WOODEN TILES ARE THE BEST

GLORY RAY / CUSTOMER

Review

Nimependa strips zenu ni imara sana zote za chini na za ukutani.

Pius / Client

Review

Your toilet and bathrooms accessories are nice ,Thanks Dar Ceramica Centre

Arthur / Client

Review

Walls tiles zenu nzuri sana

Eve / Client

Review

Toilets paper holder nimezipenda ntarudi kuchukua nyengine

Pamela / Client

Review

Mna accessories nzuri

Ceilling / Client

Review

Mixer zenu zenu nzuri sana

Rugarabamu / Client

Review

Mna Bathroom cabinet and basin nzuri sana

John / Client

Review

QUALITY PRODUCTS AND AFFORDABLE

NAOMI / CUSTOMER

Review

GOOD CUSTOMER SERVICE AND QUALITY GOODS

FAITH / CUSTOMER

Review

Nimehudumiwa kwa wepesi bila ata kufika dukani. Asanteni sana.

Florah Kijogoo / Normal Customer

Review

your items are very beautiful and the quality is equivalent to the price.

Mr. Bajaj / customer

Review

Thanks Dar Ceramica team for quality services and product,you have quality and good design tiles both floor and wall. We shall come again.

Mufindi Springs / Client

Review

Mna tiles nzuri sana

Ahimidiwe / Customer

Review

Ahsante kwa tiles nzuri mlizonipa na kunishauri ,ntawaletea rafiki zangu pia.

Grace / Client

Review

Marumaru zenu ukizijenga kila mtu anasifia

John / Fundi

Review

Ninapenda bidhaa zenu. Nilinunua miaka mitano iliyopita hadi leo sijafanya marekebisho yoyote

MERCY / NORMAL CUSTOMER

Review

GOOD CUSTOMER SERVICE

RAYMOND / CUSTOMER

Review

Dar Ceramica Centre mko flexible katika Njia za Malipo. Very helpful.

Miss Lilian / CUSTOMER

Review

Napenda tiles zenu ndio maana kila siku nakuja kununua tiles.

Godfrey Magesa / Customer

Review

Tiles imara sana..Tumetumia kwenye miradi yetu mingi sana.

Nordic Construction Co Ltd / Normal Customer

Review

Tiles imara sana..Tumetumia kwenye miradi yetu mingi sana.

Nordic Construction Co Ltd / Normal Customer

Review

Waranty ya mixer inatupa amani ya kuwaamini na kuamini bidhaa zenu.

MALISA / Customer

Review

Nice strips with good look,thanks

Rose / Client

Review

Floor Silex Gris tiles are nice ,thanks Dar Ceramica

Stella / Client

Review

Nimependa huduma zenu

David / Client

Review

Nimewasikia mda mrefu, watu wengi wanawasifia kwa bidhaa bora.

ABRAHAM / CUSTOMER

Review

Your products are the best.

GENERALI / CUSTOMER

Review

Feedbacks Mna tiles nzuri sana pia nimependa huduma zenu ni nzuri

ABDALLAH / Customer

Review

Feedback mna tiles zenye ubora wa hali ya juu tumezijenga katika shule yetu na zimependeza sana

Anwarite / Customer

Review

The customer Service is wonderful.Wanangu ni wachangamfu sana.

MAMA MOSI / CUSTOMER

Review

i love your products

saidi / Client

Review

Your products are very nice i wish i knew you erlier

Rahma / Client

Review

Nimepata huduma nzuri sana leo dukani kwenu na bidhaa zenu nzuri pia

Mariam / Client

Review

Nimependa bathroom Accessories nilizochukua kwenu nzruri sana

Millenium / Client

Review

nimependa sana tiles zenu nyumba yangu imependeza

Mayasa / Client

Review

You have good products for sure like these wood design tiles I appreciate them

Dr. Simba / Customer

Review

WELCOMING CUSTOMER SERVICE

MUSSA / CUSTOMER

Review

Nawashukuru sana Dar Ceramica kwa huduma zenu na tiles nzuri zinazopendezesha nyumba kwa kweli maamuzi hayaji siku moja ya kununua mmevulia nenda rudi yetu hatimae tumenununua kilicho bora zaidi, Tiles zenu za mbao ni nzuri sana

Amani / Client

Review

Nice toilet with a convincing warranty.

JOHN KERARYO / Normal Customer

Review

Feedback You have the high quality toilets and wash basins i like them so much.

ALLEN / Customer

Review

I DID ENJOY THE WAY YOU HANDLE YOUR CUSTOMER

ADELIMU MROSSO / CUSTOMER

Review

TILES ZENU ZINAVUTIA SANA HASA ZA MBAO

MFAUME / CUSTOMER

Review

Nilinunua choo kwenu mpa leo hakijawahi kusumbua. Vyoo vyenu bora.

Mrs Rose Eliasi / Normal Customer

Review

I loved the information i was provided with, it was so easy to make decisions

Erasto / Alfred

Review

You have high quality products

Mr. G / Ngoba

Review

I am happy to find your showroom near my place, I do not need to drive to town.

GOODLUCK / NORMAL CUSTOMER

Review

Feedback bidhaa zenu ni imara sana tulichukua tiles kutoka kwenu zimekaa muda mrefu na hazivunjiki wala kupauka

Judith / Customer

Review

Feedbacks Dar ceramica centre i like your products because are the best. I appreciate your customer service too.

Irene / Customer

Review

Asante kwa uaminifu nmepata mzigo wangu

Juma Mvamba / Customer

Review

Your water heater are nice.Thanks.

Rose / Client

Review

I like your shower enclosure,thanks Dar Ceramica for good product.

Hussein / Client

Review

Guys,mna kitchen sink nzuri sana hazipati kutu aisee

Malin / Client

Review

Sijawahi pata malalamiko katika kupaka grout zenu kwa wateja wengu.

Swai / Fundi

Review

Nyumba yangu yote itajengwa na tiles toka Spain, thanks Dar Ceramic for good product and customer care

Willium / Client

Review

Tumependa sana Jaccuzy zenu na bei yenu sio mbaya sana.

Fadhili Mohamed Mbulu / Normal Customer

Review

GRANITE IMARA SANA.

MISS HAPINESS / CUSTOMER

Review

My friend inspired me to buy materials from your company. She bought finishing materials from your company 10 years back but still looks good, she has never repaired them.

HELLEN / NORMAL CUSTOMER

Review

I Really enjoy your services

HYZAXY / Client

Review

Tumependa sink zenu za jikoni na bei sio mbaya sana.

Eastenders Limited / Normal Customer

Review

Good customer service and adivise

Kojas builders / Engineer

Review

Nice shower enclosure,thanks .

Hussein / Client

Review

Kwa tiles mko juu Dar Ceramica.

Phares / Client

Review

Nice sanitary ware with affordable price.Thanks

Zena / Client

Review

Your floor tiles are nice ,thanks

Mufindi / Client

Review

Mna huduma nzuri sana kwa wateja.Nimefurahi kuelekezwa kwa undani kabisa.

MR JOEL / CUSTOMER

Review

You have a very nice variety of Jacuzzi and bathtub

RAYMOND / CUSTOMER

Review

Nimependa Cabinet zenu zinaonekana bora ukilinganisha na za China.

Flora Tutu / Normal Customer

Review

Napenda ninapopata huduma bila kufika dukani na mzigo ukanifikia nyumbani.

MWANTUM JUMA MSANGI / Normal Customer

Review

My client like your products, l will come for additional next week

Cf builders / Contractor

Review

Bidhaa ni nzuri sana tofaut na watu wengibe ntarud kwa ajili ya vigae vya nyumba yang ingine

Happiness / Richard

Review

Nyumba yangu imependeza sana, Tiles ni nzuri na zinavutia.

Juma Mvamba / Customer

Review

Nimefurahi bidhaa niliyokuwa na uhutaji nayo ni moja ya bidhaa zilikuwepo kwenye ofa ya Pasaka.

Mayoya / NORMAL CUSTOMER

Review

We love your products, are the best.

Shades Of Green Safaris / Company

Review

Duka lenu kali sana, Dodoma haijawahi tokea.

JOSEPH Haule / CUSTOMER

Review

Your products are differ from others in quality and durability

Kidevu sibale / Engineer

Review

I am impressed with all your products. Particularly the tiles sold in Dar Ceramica Centre.

MISS AGNES / CUSTOMER

Review

Nililipia mzigo na nikaweza kuifadhiwa kwa zaidi ya siku saba kabla ya kuchukua. Huduma nzuri sana.

Dr Joseph Matiko / Normal Customer

Review

Nice tiles with good prices.

Leonard / NORMAL CUSTOMER

Review

Vyoo vizur sana especially wall hung

Loveness / Client

Review

Good services especially at this time of corona virus

Saidi / Client

Review

Huduma nzuri sana.

MISS TEDDY / CUSTOMER

Review

Nazikubali sana bidhaa za Castleware, leo nimenunua beseni la kunawia mikono .

MR FELIX / CUSTOMER

Review

Feedbacks Dar ceramica mnatiles nzuri sana nimeshajenga kwenye nyumba zangu nimeona jinsi gani zinadumu kwa muda mrefu na hazipauki

IBRAHIMU / Customer

Review

Bidhaa ni bora na tunapenda jinsi tunavyohudumiwa.

Afrika Mashariki / Normal Customer

Review

VITU VYENU NI VIZURI SANA TUMEPENDA NA TUTARUDI TENA

MRS. RIDE / NORMAL CUSTOMER

Review

Ubora wa tiles zenu ni wahali ya juu, Asanteni sana

Ombeni / NORMAL CUSTOMER

Review

I LIKE YOUR WASHBASIN AND OTHER PRODUCTS. I WILL COME FOR MORE

BRENDA / CUSTOMER

Review

Feedback DAR CERAMICA NINA WASIFU SANA KWA KUWA NA BIDHAA NZURI SANA .TUMESHANUNUA VYOO VINGI KUTOKA KWENU NA BADO TUNAENDELEA NA UJENZI NITARUDI TENA KUNUNUA VINGINE.

DEOGRATIUS / Customer

Review

Bidhaa zenu ni nzuri, nilizitumia katika nyumba yangu ya Mbeya na sijaona tatizo lolote. Hongera

SAID RAMADHANI / CUSTOMER

Review

Tiles za ukutani nzuri sana na nimependa size zake.

Stanslaus Mutabigwa / Normal Customer

Review

Tumependa kampuni inatoa discount kulingana na order zetu wateja.

Ujenzi and Paints (2000)Ltd / Normal Customer

Review

Nimependa huduma kutoka kwa staffs wenu , nimeelezewa vizuri sana kuhusu bidhaa zenu,

MR SAIDI / CUSTOMER

Review

Dar Ceramica Centre, , am impressed with the choice of products that you display and sell, I am building apartments, i will surely be your customer soon.Thank you in Advance.

MR KIMARIO / CUSTOMER

Review

TILES GLUE YENU NI NZURI SANA

SHIMONI / CUSTOMER

Review

Feedbacks MNA ACCESSORIES NZURI SANA NA ZENYE UBORA

DR.RAHIM / Customer

Review

GOOD CUSTOMER SERVICE AND RPODUCTS

SAFINA / CUSTOMER

Review

Nimefarijika sana na huduma niliyoipata kutoka kwa wafanya kazi wa Branchi ya Arusha na Mwanza. Maana nililipia mzigo Arusha lakini nimekuja mwanza mzigo nimeupata ukiwa vizuri tena salama, hakuna longo longo.

Raphael Mboya / Customer

Review

Good porcelain tiles nimezipenda

Willium / Client

Review

Nimependa shower box zenu modern sana

Adixoil Company / Normal Customer

Review

Nice services thank you

Yes Group / Client

Review

Napenda nikipiga simu naandaliwa order yangu kwa wepesi.

HAMEER / Normal Customer

Review

You have nice tiles

Joseph / NORMAL CUSTOMER

Review

nimefurahia ofa yenu nimepata tiles kwa bei nzuri sana.

Saidi Gagu / Client

Review

QUALITY GOODS, WILL COME FOR SHOWER MIXER

SHEBA / CUSTOMER

Review

Nina uwezo wa kuagiza mzigo nikiwa nyumbani na order ikanifikia. Hii ni huduma bora kabisa.

HAMEER / Normal Customer

Review

YOUR KITCHEN SINK HAS BEST QUALITY AND MANY VARIETIES

SARA / CUSTOMER

Review

Bathrooms accessories zenu zina muonekano mzuri ,ahsanteni

Seleko / Client

Review

Mirror zenu ziko clear sana ,nimezipenda

Maeda / Client

Review

Wash basin zenu za kisasa zaidi,ntakuja kuongeza na nyengine.

Mwendapole / Client

Review

Jamani tiles za Dar Ceramica Centre ni nzuri sana, Nimenunua tiles nyeupe zinaitwa MARMUR GRIS, bafu langu limengáa sana. Saa hivi najiandaa kwa ajili y a JACUZZI.

MISS MARRY / CUSTOMER

Review

Your tiles are classy and beautiful. I hope you got enough stock!

Miss Loveness / Customer

Review

Niliogopa baada ya kutoa advance, sikujua naweza badili mawazo na kubadilishiwa bidhaa! Ahsanteni. Huduma yenu ni nzuri sana

Boniface Bendankeha / Customer

Review

Tiles nzuri sana za ukutani.

Ally Surehman / Normal Customer

Review

Ninachopenda kwenu mteja anaweza kupata discount ata anaponunua bidhaa chache.

kelvin / Normal Customer

Review

Excellent service and thanks for helping on selection

Digna / NORMAL CUSTOMER

Review

Nimenunua vifaa vya nyumba yangu nzima kwenu na nakaribia kumaliza naifurahia nyumba yangu ilivyopendeza

Saphiness / Client

Review

Nimependa Granite top nzuri sana

Valentine / Client

Review

Tiles zenu zimeipendezesha sana nyumba yangu nashukuru kwa huduma nzuri pia

Elibariki / Client

Review

Feedback Dar ceramica mna tiles nzuri sana nimeziweka kwenye nyumba yangu inazaidi ya miaka nane lakini utasema ndo kwanza nimeziweka jana.

Gervas / Customer

Review

VERY NICE QUALITY TOILETS

LILIANI / CUSTOMER

Review

VERY WELCOMING CUSTOMER SERVICE AND GOOD PRODUCTS YOU HAVE

SALLAM / CUSTOMER

Review

very nice tiles

Amani Gervas / Client

Review

Amazing products i appropriate them and services i got from you,

Haricom International Ltd / Client

Review

CUSTOMER CARE YENU NI YA HALI YA JUU SANA,NIMEPENDA

MRISHO MRISHO / customer

Review

mixer zenu mzuri sana. fiore iko vizuri na ni kiwanda kikubwa ulaya. mmetisha sana

MR mfinanga / CUSTOMER

Review

Nilinunua vyoo tangu mwaka juzi mpaka leo bado vina ng'aa vile vile na syphone zake ziko imara sana.

SALOME / CUSTOMER

Review

Products zenu nzuri sana. Nimenunua tangu 2012 tiles, hadi leo bado zinang'aa.

PETER / CUSTOMER

Review

Washing basin nzuri sana na bei sio mbaya.

Rodrick / Normal Customer

Review

YOUR SHOWER MIXER IS PERFECT

ABELLA / CUSTOMER

Review

YOUR SHOWER MIXER IS PERFECT

ABELLA / CUSTOMER

Review

your services are first class

Violet / Client

Review

You have nice water heater

Joachim / Client

Review

Nimependa sana shower glass zenu bafu langu limependeza

Neema / Client

Review

the counter basins are reasonably nice

Phoibe / Client

Review

sikudhani kama ningeweza kujenga kwa quality finishing materials na kwa reasonable cost thank you dar ceramica

Haricom International Ltd / Client

Review

Nmependa sana accessories zenu

Mary / Customer

Review

Nimezunguka Mwanza yote sijaona Jakuzi nzuri kama hapa kwenu. Hizi ni nzuri sana

Maruzuku Magongo / Customer

Review

Wow! Hizi product zenu zina finishing ya kipekee sana! So premium!

Denis Tirutamgwa / Customer

Review

Good Quality and Affordable Price. KEEP IT UP.

Sono revocatus / Customer

Review

Product zenu ni nzur na inaweza kuishi mda mref .

George Nyangi / Customer

Review

NIMEPENDA SANA TILES ZENU. NAENDA KUVUNJA ZILIZOPO NYUMBANI KWANGU NIJENGE NA ZENU

BERTHA / Client

Review

WALL HUNG TOILETS ARE SIMPLY STYLISH AND AFFORDABLE

RAHAB / Client

Review

Nimesaidiwa kufanya uchaguzi wa vitu na mtoa huduma, Very nice service.

Bernard Matovu / Normal Customer

Review

YOU HAVE GOOD PRODUCTS EVER

MR. PATRICK / Customer

Review

Your products are the best.

Big Haulage Ltd / Customer

Review

Basins hazibadiliki rangi kabisa.

Daynes Minja / Customer

Review

Nimeipenda sana hii tiles Kilim Beige ,ahsanteni kwa ushauri mzuri

Ritha / Client

Review

Nice wash basin it look nice with your mixer I choose.

Stephene / Client

Review

Heater zenu nzuri sana

Beda / Client

Review

NICE QUALITY PRODUCTS

AL-NAEEM ENTERPRISES LTD / CUSTOMER

Review

Feedback nimekuwa mteja wenu kwa muda mrefu bidhaa zenu sijawahi kujutia kuzinunua

GERVAS MACHIMU / Customer

Review

Good quality kitchen sinks

Abel Soka / Customer

Review

Your shower mixers are the best. The quality is extraordinary.

LUTULA / CUSTOMER

Review

Nimefurahia ofa ya pasaka, nimepata tiles nnazozipenda kwa bei ya punguzo

Charles / Client

Review

Project zetu zote tunajenga na dar ceramica mna finishing building materials nzuri sana

SUMA J.K.T / Client

Review

Mna huduma nzuri sana sijawah kupata kwingine

Oscar / Client

Review

GOOD CUSTOMER SERVICE AND NICE PRODUCTS. WILL COME FOR BATHROOM TILES

JEAN MILLIKEN / CUSTOMER

Review

I LIKE YOUR TILES. THEY ARE IN GOOD QUALITY

J&N COMPANY / CUSTOMER

Review

YOUR COUNTER BASIN ARE THE BEST

ROBERT / MHINA

Review

I LIKE YOUR MIRRORS. ITS REFLECTION IT VERY CLEAR AND NICE DESIGN

VICTORIA / CUSTOMER

Review

Nimependa sana sink zenu za jikoni, ziko imara sana.

ABDALLAH / CUSTOMER

Review

Tiles zenu ni imara sana. Nimezipenda sana.

SANGA / CUSTOMER

Review

Nimependa wash basin, tangu nmenunua mpaka leo bado zinang'aa kama mpya.

RAYMOND / CUSTOMER

Review

Kitchen sink zenu zina warranty ya muda mrefu kitu ambacho ni kizuri.

Tft consulting Ltd / Normal customer

Review

I can only make a call, pay and receive my order at home.

Walter Chipeta / Normal customer

Review

Feedback mimi ni mteja wenu wa muda mrefu nilishaweka tiles zenu kwa zaidi ya miaka saba nimeziona zinavyodumu na bado ninaendelea kununua

Honory / Customer

Review

Water heater ni nzuri sanaa.

MUDDY / FUNDI

Review

Nimefanya malipo Dar na nitapokelea mzigo Dodoma..Huduma bora

KULA FOOD GROUP / Normal customer

Review

Nimelipenda sana Bathtub nililonunua leo, yani zuri mno

J Square / CLIENT

Review

Mna strips nzuri sana

WILLIUM MASSAWE / CLIENT

Review

good products, promise to come again

Eng / SAIMON

Review

I purchased mixer showers 3 years at one of your outlet and it is still as good as new. Thank you.

Goodluck / NORMAL CUSTOMER

Review

nice variety of concealed tanks

david / CUSTOMER

Review

Tiles zenu ni nzuri na zenye viwango vya hali ya juu.

Obedi Loyeuni / Customer

Review

NICE STRIPS KEEP IT UP

SHAO / CUSTOMER

Review

Tiles zimependeza sana, ninashkuru kwa kwa kupata muongozo wa rangi kutoka kwa muhudumu mmoja, amenisaidia Choo kimependeza sana.

Abla Issa / Customer

Review

YOUR SHOWER TRAY ARE IN GOOD QUALITY

WARREN / CUSTOMER

Review

NICE PRODUCTS , WILL COME FOR SHOWER ENCLOSURE

MAHEMBA / CUSTOMER

Review

Mixer zenu nzuri sana

Tito / NORMAL CUSTOMER

Review

MNA HUDUMA NZURI NARUDI KILA SIKU

WILLIUM MASSAWE / CLIENT

Review

Products nzuri, hatujapata malalamiko yoyote kutoka kwenye projects zote tulizofanya kwa bidhaa za Dar ceramica.

Denijo Construction Co. Ltd / Engineer

Review

NICE TILES AND WASH BASIN

PRISCA / CUSTOMER

Review

NIMEPENDA HANDWASH BASIN ZENU

SUNDAY KISOMA / CLIENT

Review

VERY NICE TILES

HOPELIANA / CLIENT

Review

Feedbacks You have good products.

Sura / Tech Co.Ltd

Review

Feedback Dar ceramica mna sanitary ware nzuri sana nitarudi tena kununua shower enclosures

SIMA / Customer

Review

NICE TILES WILL COME FOR MORE

MUSA / CUSTOMER

Review

GOOD CUSTOMER SERVICE AND PRODUCTS

WILSON / CUSTOMER

Review

You have very quality products which defferentiates you from your competitors.

Isaac / Bira

Review

Feedbacks Great services, Thanks.

Imperial Investment ltd / Normal customer

Review

Nafurahia sana nyumba yangu sababu ya tiles zenu

mr / simkoko

Review

GOOD CUSTOMER SERVICE AND PRODUCTS

DAVID / CUSTOMER

Review

concealed tanks are the best

fransis / CLIENT

Review

nice toilets

John / CLIENT

Review

Nimependa sana design za vyoo mnavyouza.

Faraji / Normal customer

Review

SATISFIED CUSTOMER SERVICE AND PRODUCTS

BRIGITTE / CUSTOMER

Review

NICE VARIETY OF GOODS

MZALENDO / CUSTOMER

Review

Feedback Sijawahi kujutia bidhaa zenu tangu nimeanza kununua mna bidhaa nzuri sana tena zenye ubora wa hali ya juu

TREK DMC / Customer

Review

YOUR HEATER ARE THE BEST WITH WARRANTY

WEMA MOYO / CUSTOMER

Review

Asanteni tiles nzuri sana

sylvester / CLIENT

Review

Good service dar ceramica

Kileo / CLIENT

Review

Granite top sijawah kuona pengine nzuri sana

Jamirex Investment / CLIENT

Review

Sanitary nzuri sana

Michael / CLIENT

Review

Feedbacks Nimependa Basins zenu zinagood designs na bei zake ni affordable.

Florian / Normal customer

Review

Feedbacks Napenda huduma zenu kwa kuwa hata nikiwa mbali na ofisi zenu ninauwezo wa kulipia kwa huduma ya mtandao wa simu.

ICS System ltd / Normal customer

Review

MIMI NI CUSTOMER WENU WA MDA MREFU NA SITOACHA KUNUNUA BIDHAA ZENU ZENYE UBORA

TOWO / Customer

Review

The wall hung toilets new munique design is the best

John Mbogo / CLIENT

Review

Nimependa vyoo vyenu na beseni zake vina design nzuri

Dr Florian Vedasto / Normal Customer

Review

Nime nunua vitu vingi sana kwenu, mna vitu vizuri sana

MRS / ROSE

Review

Jacuzy na Bath tub zenu ni nzuri na kitu kizuri zaidi zina warranty pia.

Julius Peter / Normal Customer

Review

Good Product and has the warranty.Very good.

Emmanuel / Customer

Review

Feedbacks Napendelea zaidi Accessories zenu ziko na good designs na katika Affordable price.

Irene Apina / Normal Customer

Review

We like product from dar ceramic like jaccuzy and spanish tiles

Mwalugaja / Business man

Review

nice floor drainers

Catherine / CLIENT

Review

NICE TILES

STEVEN SWAI / CLIENT

Review

NICE MIXERS

MR LEMA / CLIENT

Review

Bidhaa zenu zina ubora sana

Jeremia / Mahamba

Review

KITCHEN SINK NZURI SANA

FRANSISCA / CLIENT

Review

SICHOKI KUJA DUKAN KWENU KWA UZURI WA BIDHAA ZENU

HARICOM INTERNATIONAL / CLIENT

Review

Kitchen sink zenu nzuri maana fundi alifunga na imekaa vizuri

Dorothy / Normal Customer

Review

NIMEFURAHIA VYOO VYENU VYA WALLHUNG

CLARA / CLIENT

Review

Parking nzuri ya vifaa vya udongo inakuwa rahisi kwa mteja kusafirisha.

Mark D Computer / Normal Customer

Review

Nice hand wash basins at good price.

Libena / NORMAL CUSTOMER

Review

Nimesaidiwa kupelekewa mzigo kwa transporter hii ni moja ya huduma nzuri.

Quiya Mafinga / Normal Customer

Review

I like your customer service

Miss Naomi / Client

Review

Nice products and services are too

Emma Francis Nyaki / Customer

Review

Ninapenda sana brand yenu ya Mixers

Mr. Plumber / .

Review

Feedbacks Nimefurahia huduma zenu kwa wateja maana nimeweza kununua bidhaa kwenu na kufikishiwa Transporter. God bless you!

Alumbwage Mtitu / Normal customer

Review

TILES ZENU NINZURI SANA NANIIMARAPIA

JOSEPH / CUSTOMER

Review

Good service and a very welcoming environment

Herieth / C

Review

Nimependa nilivyohudumiwa kwa haraka.

Hadija Hamsini / Normal Customer

Review

nimependa vyoo vyenu

Khalid / CLIENT

Review

nice mixers

Pendo Farida / CLIENT

Review

Feedbacks Appreciate your product is quality and we still support

NHC mbeya branch / Enginear

Review

MKOVIZURI SANA MMEKAMILIKA KILAIDARA MMEJIPANGA KIBIASHARA MNAJALI CUSTOMER SAFISANA

HALMA ATHUMAN / CUSTOMER

Review

Feedback nilikuwa naogopa kuingia showroom kwenu nikijua bidhaa zenu ni za bei hali lakini nimefika na bidhaa zenu zinabei ya kawaida (affordable) asanteni sana

ELIKAMA / Customer

Review

NICE PRODUCTS , WILL COME FOR SHOWER MIXER

SHEBA / CUSTOMER

Review

Excellent customer service

GCC / Company

Review

Nice toilet and bathroom accessories.

Calistus Mgahava / Normal Customer

Review

Nimepata tiles ya kuongezea kwa mzigo nilionunua mwaka jana. Sikuwa nadhani kama nitapata.

Henry John Kasanga / Normal Customer

Review

Tunachofata kwenu ni Ubora wa bidhaa.

Holiday Inn / Normal Customer

Review

Huduma nzuri maana tunapata ushirikiano mzuri kutoka kwenu.

Nordic Constructions Co Ltd / Normal Customer

Review

Huduma nzuri maana tunapata ushirikiano mzuri kutoka kwenu.

Nordic Constructions Co Ltd / Normal Customer

Review

Tank nzuri za vyoo, nimenunua baada ya kuhakikishiwa ubora na mtoa huduma.

Mallya / Normal Customer

Review

NICE MIXERS

MWENDAPOLE / CLIENT

Review

NICE SINKS

ENDELEZA / CLIENT

Review

You have nice and quality Asian toilets keep up

Averina mkami / Customer

Review

Nimependa huduma yenu, mnafanya kazi kwa umaakini na uaminifu Sana nimeweza kununua bidhaa bila kufika dukani na zikanifikia Hadi site kwa usalama bila tatizo.

Francis Mgare / Customer

Review

I REALLY LIKE THE GLASS SHOWER

ERNCON HOLDINGS / CLIENT

Review

Nimefurahi kusikia Kitchen Sink zenu zina ubora wa kukaa mpaka miaka 15.

Reuben / NORMAL CUSTOMER

Review

You have quality tiles.

Brown / NORMAL CUSTOMER

Review

QUALITY WASH BASIN

ADELIMU / CUSTOMER

Review

NIMEZIKUBALISANA BIDHAA ZENU NIIMARA SANA MNAJITAHIDISANA

JENESTA MHAGAMA / CUSTOMER

Review

Feedbacks MIMI NIMENUNUA PROCT ZENU MIAKA MITANO IYOPITA NA NIMERUDI TENA KWA UBORA

OMAR / Customer

Review

GOOD QUALITY KITCHEN SINK WITH BEST ACCESSORIES

SALUM / CUSTOMER

Review

Its a pleasure doing business with Dar Ceramica.

Joel / Dealer

Review

TILES ZENU NINZURI ZIMEPENDEZESHA NYUMBA YANGU SANA TENASANA

HALMA ATHUMAN / CUSTOMER

Review

YOU HAVE NICE VARIETY OF FINISHING MATERIAL

DERECK / CUSTOMER

Review

NICE BATHROOM ACCESSORIES

STELLA / CUSTOMER

Review

very nice product, especially your hanged toilet

Mr. Steve G. / Client

Review

Feedbacks Mna bidhaa nzuri na zenye viwango vya hali ya juu sana.

Ebonike / Normal Customer

Review

Warranty mnayotoa kwenye mixer zenu inatupa imani kwamba ni imara. Asanteni

James / NORMAL CUSTOMER

Review

You have a unique and qualify products

Zephania / Customer

Review

Vitu mnavyouza na Ufanyaji kazi wenu sio wa ubabaishaji kabisa nimependa jinsi walivyo test hand drayer na kunionyesha jinsi inavyofanya kazi

Mr. Mgongo / Customers

Review

Tiles nzuri sana na quality yake inaonekana nzuri.

Ezekia Mwangosi / Normal Customer

Review

Nimeshawishika kununua hapa kwasababu ya ubora mlionihakikishia.

Martine / Normal Customer

Review

GOOD QUALITY TILES

DAVID / CUSTOMER

Review

Excellent customer service

Stamili / Customer

Review

I LIKE THE QUALITY OF YOUR STRIPS

PRAYGOD / CUSTOMER

Review

i love all your item, Tiles are magnificent

Miss Lilian John / Client

Review

NICE TILES

JOSEPHINE / CLIENT

Review

DAR CERAMICA MNA TILES NZURI SANA ZA MBAO

MISS JACKLINE / CUSTOMER

Review

KITCHEN SINKS ZENU ZA CERAMIC ZIPO VIZUR SANA

PETER MINJA / CLIENT

Review

NICE KITCHEN SINKS ZA FIBER

HALIMA / CLIENT

Review

Toilet are very nice, love your product

MR. Paul Daniel Paul / client

Review

Beautiful wash basins designs.

Davis / .

Review

Good customer service, i received my goods in a good condition.

Gerald / .

Review

Tiles ni nzuri sana, nyumba yangu imependezeshwa na Dar ceramica.

Shedrack Mabena / Customer

Review

Nimenunua tiles zangu za chooni Dar Ceramica Centre, Nafurahi kila nkiiingia Washroom kwangu, its like a second living room.

Miss Jackline / Customer

Review

YOUR GROUT ARE THE BEST

MR. KELVIN / CUSTOMER

Review

Feedback mna wash basins nzuri sana kulinganisha na wengine

MUSHI / Customer

Review

YOUR STRIPS ARE THE BEST

ALLY / CUSTOMER

Review

Unique Tiles ,design and colors,especially for the wooden type. Impressed.

MR GAUDENCE / CUSTOMER

Review

nice basin i like mixers too

frere / CLIENT

Review

Back to wall toilet nzuri sana nimependa sana

Calvin richard / CLIENT

Review

I purchased your tiles in phase by thinking that l can't able to complete my house bt thanks for your adivise which help me to finish my house

Grace / Customer

Review

I have seen many and different types of tiles but yours are better than others

G2r / Customer

Review

huduma nzuri na bidhaa nzuri sana

Mary Patric / CLIENT

Review

Your products are nice and quality

GBP Tanzania / Customer

Review

NICE WASH BASIN AND SHOWER

BEATUSI / CUSTOMER

Review

nice mixers

Ngaga / CLIENT

Review

nice tiles zimependeza sana

Joseph Temu / CLIENT

Review

Tiles za mbao za kwenu naona ni nzuri kulinganisha na sehemu nilizopita.

Yahya Ally / Normal Customer

Review

Mixer zenu za basin ni bora maana nilinunua mwaka jana naona bado ipo vilevile.

Germana Ibreak / Normal Customer

Review

Feedbacks NIMEPENDA PRODUCT ZENU NZURI SANA

GEOGE / CUSTOMER

Review

YOUR TILES ARE THE BEST

SALIM / CUSTOMER

Review

Feedbacks Appreciate product from dar ceramic

Juma issa / customer

Review

Feedbacks NIMEPENDA MIXER ZENU ZA FIORE NI MZURI SANA

DR PENDO / CUSTOMER

Review

Nice mixers

Joel David / CLIENT

Review

Nice accessories

Fortunatus / CLIENT

Review

Nimependa sana choo Asian cha Castleware

James / NORMAL CUSTOMER

Review

YOUR GROUT ARE THE BEST

VALENTINA / CUSTOMER

Review

BIDHAA ZENU NI NZURI SANA NA UBORA NI MKUBWA

DULLAH / CUSTOMER

Review

KWAKWELI MNA HUDUMA NZURI PIA NI WAAMINIFU SANA NAPATIKANA TABATA NIMEWEZA KUPATA TILES ZANGU KWA MAWASILIANO YA SIMU TU HONGERENI SANA.

ERIC / SHINDA

Review

Thanks for nice strips

Chiku Ally / CLIENT

Review

Shattaf zenu nzuri,Asante

Banca Company / CLIENT

Review

NICE MIRRORS

DINA / CUSTOMER

Review

your tiles are so nice, appreciated

Omar Abad / client

Review

Grauti zenu ni nzuri sana, ukiweka umeweka hazibanduki.

Omar / NORMAL CUSTOMER

Review

Nice Asian toilets with good price.

Reuben / NORMAL CUSTOMER

Review

W e are happy for the warranty on water heaters, it gave us confidence to use them at our camps

SINOHYDRO / CONSTRUCTION COMPANY

Review

WATEJA WETU WANAPENDA SANA BIDHAA ZENU KWA UBORA WAKE

EDMUND / CUSTOMER

Review

YOUR TILES ARE VERY NICE

LISA / CUSTOMER

Review

My whole house i bought material from you . Your the best on quality material

MR. MSUYA / CUSTOMER

Review

Sanitary ware zenu ni nzuri balaa, nimenunua vifaa vyote vya ujenzii kwenu.

MISS BENEDICTA / CUSTOMER

Review

NIMEPENDA SANA VYOO VYENU, VINA MUONEKANO MZURI WA KISASA

MARY / CUSTOMER

Review

Feedbacks nimependa aina ya bidhaa zenu zipo vizuri

mariki / CUSTOMER

Review

Nimejenga Tiles zenu kwa miaka 18 haijabadilika rangi kabisa.

Kapwani Architects / Company

Review

Mna tiles nzuri na nimependa zina size tofauti tofauti

Possy Yusuph / Normal customer

Review

Granite nzuri sana

Rajab / CLIENT

Review

Bidhaa nzuri sana. Nimefurahi kutembelea duka lenu.

MAMA MKANDAWILE / CUSTOMER

Review

We trust Dar Ceramica for high quality products.

Jamirex / Investment

Review

The quality of the products is perfect

Eben / Enterprises

Review

I always receive the best services. Thank you.

Erica / Musyani

Review

MIXER ZENU NI IMARA SANA, HAZIBADILIKI RANGI

NAOMI / NORMAL CUSTOMER

Review

NICE KITCHEN SINK WITH GOOD QUALITY

ALBERT / CUSTOMER

Review

I purchased sanitary last year, the quality of your things made me to come back

Paul mbusiro / Customer

Review

THANKS FOR THE SERVICE, YOURS THE BEST

TUSWEGE AUGUSTINO / NORMAL CUSTOMER

Review

Showroom nzuri sana na ya kitofauti. Nimefurahi kupafahamu Dar Ceramica Centre , Dodoma.

MR MARTIN / CUSTOMER

Review

NICE MIXERS

FAUSTINE / CLIENT

Review

BATHTUB JACUZZI NZURI SANA

DIANA ROSE / CLIENT

Review

Nice counter basins

Msanya / FUNDI

Review

NICE JACCUZI I LIKE IT

WAQT Transport / CLIENT

Review

NICE CUSTOMER SERVICE

ROBERT / CUSTOMER

Review

VERY NICE GRANITE YOU HAVE

PRISCA / CUSTOMER

Review

ubora wa mixer na vyoo vya dar ceramica ni wa uhakika

Hellen Kisalika / Normal customer

Review

Feedbacks NIMEPENDA SANA MIXER ZENU

swai / Customer

Review

NICE ACCESSORIES

STEWART / CUSTOMER

Review

Nice mirrors with good price

Michael / ENGINEER

Review

THANKS FOR THE GOOD SERVICE

GHALIB / NORMAL CUSTOMER

Review

Grouting zenu nzuri sana

FUNDI SWAI / FUNDI

Review

I LIKE YOUR SHOWER MIXER

YAKUBU / CUSTOMER

Review

NICE VARIETY OF TILES WITH GOOD QUALITY

MAEDA / CUSTOMER

Review

NICE QUALITY TILES GLUE FOR SWIMMING POOL

IMRANI / CUSTOMER

Review

NICE MIXERS

JENNY / CUSTOMER

Review

Your services have never disappointed

Tembo Club / Customer

Review

GOOD CUSTOMER SERVICE

DOMINICK / CLIENT

Review

Nalipa popote nili[po na napata bidhaa kwa wakati

Salim Senyange / Normal customer

Review

Feedbacks NIMEZUNGUKA MOSHI NA SIJAONA PRODUCTS NZURI KAMA DAR CERAMICA NIMENUNUA TOILET NA INAFANYA KAZI VIZURI

KILEO / CUSTOMER

Review

Tiles zenu zina ubora wa hali ya juu

Zamanco Ltd / Normal customer

Review

Best products.

TFA Ltd / Customer

Review

THANKS FOR THE GOOD SERVICE .

JOHN MDUDA / NORMAL CUSTOMER

Review

MNA CUSTOMER CARE NZURI SANA

EMANUEL SHIRIMA / CLIENT

Review

BIDHAA ZENU BORA SANA.

MR / DAFFA

Review

VERY NICE QUALITY TILES

SAMWEL / CUSTOMER

Review

YOUR KITCHEN SINK IS THE BEST. I BOUGHT FROM YOUR SHOP FOR MY HOUSE IN 2005 STILL THE BEST AND IN GOOD CONDITION. KEEP IT UP

TUMSIFU / CUSTOMER

Review

Your products are superb!!!!!!

Johnera / CUSTOMER

Review

Quality products and experienced sales Officers.

MR BUBERWA / CUSTOMER

Review

ACCESSORIES ZENU ZINAVUTIA SANA.

CHARLES MSETTI / NORMAL CUSTOMER

Review

KITCHEN SINK ZENU NZURI NIMEFURAHIA ZINA WARRANTY.

LADISLAUS / NORMAL CUSTOMER

Review

NICE TOILETS

JAVIN / CLIENT

Review

VERY NICE TILES

SUZAN / CLIENT

Review

Very pleased with the service.

Florian / NORMAL CUSTOMER

Review

Bidhaa zenu ni nzuri

Upendo / NORMAL CUSTOMER

Review

Nice bathroom accessories.

Qwihaya / NORMAL CUSTOMER

Review

ROBLE MIEL NI TILES NZURI SANA

JP TRADERS / Customer

Review

Legno fresno floor tiles safi sana

Charles / CLIENT

Review

Mnasifika kwa kuwa na grout nzuri

Kitomari / Customer

Review

Strips nzuri lakini leteni na hizi mlizodisplay ziwepo

Ben / CLIENT

Review

Mliahidi kuleta floor drain ya kukanyaga. Bado tunasubiri

Beda Cyprian / Customer

Review

Tunasikitika tunapokosa bidhaa kutoka kwenu, tafadhali ongezeni aina za mabeseni ya miguu mirefu.

J.K INVESTMENT / BUSINESSMAN

Review

granite nzuri sana mlete rangi nyingi tumezipenda sana

celars company / Customer

Review

huduma yenu ni ya hali ya juu sana. nimejisikia nyumbani kuja kwenu leo. na mmependeza sana na uniform zenu

Mollel s. / BUSINESSMAN

Review

Nice toilets nimenunua miaka mingi kidogo na bado zinawakaa

GRACE SIMON / Customer

Review

Your wood tiles are very classic.

Herry maliaki / Customer

Review

Cabinets nzuri sana.

Lelo Msele / Customer

Review

Nilinunua tiles mwaka jana lakini mpaka leo ukiziona utadhani nimeweka leo kweli mnabidhaa nzuri sana

Godfrey / Magesa

Review

WE REAL APPRECIATE YOUR SERVICE ON YOUR PRODUCTS SPARES. KEEP IT UP , ITS VERY DIFFERENT FROM OTHER COMPANIES

MR. COBELO / CUSTOMER

Review

Kuingia kwenye duka lenu kumenifanya ninunue bidhaa kutokana na ubora wa vitu vilivyopo wakati nilikuwa sina mpango kwa sasa

Agness Komio / Customer

Review

NIMEFURAHIA KUJUA KUA BIDHAA ZENU ZINA WARANT

KHAMIS MWINJUMA / MTEJA

Review

Honestly your sales team here at K.koo Gerezani is so supportive and active. I appreciate.

Sister of St Merry / NORMAL CUSTOMER

Review

Strips zenu zina ubora sana

Johnson / NORMAL CUSTOMER

Review

Castleware is a great brand.

Aziza / Customer

Review

Nimependa kitchen sink zenu Zina material flani hivi yanavutia mnoo

Aniven Albano / Customer

Review

Bidhaa zenu zinakubalika sana

Coast Interbusiness Ltd / Customer

Review

good quality shower mixer

Tavita / Customer

Review

Shower enclosure nzuri, bei nzuri.

Elerai Construction Co. Ltd / Company

Review

vitu vyenu vizuri sana sikuwahi kufika dar ceramica

Hamis Haruna Kinenga / Normal customer

Review

nice wash basins and mixers

Deo Kwiyuka / Customer

Review

Beautiful bathtubs and Bathroom cabinets

Mashiba and Family Holdings Ltd / Customer

Review

GOOD SERVICE

ALLY / CUSTOMER

Review

Napenda strips zenu ni original

Nusrat / Normal customer

Review

NICE VARIETY OF TILES

AGNESS / CUSTOMER

Review

GOOD MIXERS

PETER / CUSTOMER

Review

Perfect Brown wooden tiles , i bought G sauco miel from Dar Ceramica Dodoma, My house looks classic .

MR THOBIAS / CUSTOMER

Review

VERY GOOD PRODUCTS

TENDAR INT CO LTD / Company

Review

Nimependa wc toilet yenu inamuonekano mzuri na inatumia maji kidago. Asante kwa ushauri

Everest / NORMAL CUSTOMER

Review

TILES ZENU NI NZURI NITAWEKA NYUMBA NZIMA

SWALEHE / CUSTOMER

Review

NICE ACCESSORIES AND KITCHEN SINK QUALITY

MOHAMED / CUSTOMER

Review

Bidhaa zenu zina ubora

Joel / Dealer

Review

Asanteni kwa kunivumilia, nmeweza kupata mzigo wangu

Gloria Moshi / Customer

Review

Good products

ENTERSOFT SYSTEM ltd / Investment

Review

I like your wooden tiles

Hotel Tilapia / Customer

Review

Tiles zenu nzuri sanaaa

Petro / Normal customer

Review

Excellent services and packages

City Engineering Co. Ltd / Customer

Review

Asante kwa huduma nzuri na ya uhakika

Arusha Freight / Company

Review

Nili nunua tiles zenu miaka 3 iliyo pita mpaka sasa bado zina vutia.

MARTINE LUTHER SCHOOL / CUSTOMER

Review

Ahsanteni kwa huduma bora sana.

MATHIAS / CUSTOMER

Review

Bidhaa zenu ziko poa sana

Sara Kibona / Customer

Review

Nimependa mna huduma nzuri sanaaaa

Kasankala Ladislaus / Normal customer

OUR BRANDS

 

 

 

  • Create A Shopping Account And Keep Shopping