Easter Sale

Dar Ceramica Center Special Offer

TRANSFORM YOUR HOUSE TO A HOME

The magic thing about home is that, it feels good to leave, and it feels even better to come back.

THE ART OF COMFORT

The art of comforting starts with finding out what a person needs, with love, honesty, and respect, and then giving it to them.

OUR PRODUCTS

Have a look at our new products

TESTMONIAL

what our client say about us

Review

Dar Ceramic Center did an incredible job with my Kitchen remodel. Thank you so much

Daniela Dornard / Business Woman

Review

Absolutely phenomenal service, with quality and affordable price

larry Jackson / Manager

Review

Your Product is good

Ramadhani Shimbo / IT

Review

CABINET NZURI SANA, PACKAGING IS THE BEST TOO.

MAMA MOSI / CUSTOMER

Review

Bidhaa zenu ni imara sana, na zinadumu kwa muda mrefu.

ISSA / FUNDI

Review

Feedbacks

MAMA MOSI / CUSTOMER

Review

tiles nzuri sana

MR .ANDREW / CUSTOMER

Review

Mna bidhaa nzuri sana , Tunashukuru kwa kutuletea vifaa vya kisasa Dodoma.

MR GEOFREY / CUSTOMER

Review

Nimewahi kununua kitchen sinks miaka mitano iliyopita, kiukweli ziko vizuri sana, licha ya kua ninapokaa ni maji ya chumvi, lakini sink hazijaharibika ata kidogo. Mko vizuri.

HAMISI / CUSTOMER

Review

Your bathrooms accessories are classy and look so beautiful in my bathrooms.

SAUDA / CUSTOMER

Review

Tiles zenu ni nzuri sanaa.

KENZO / FUNDI

Review

Utaratibu wenu kila mteja kuwa na account yake ni mzuri sana hongereni

Benard Kimoso / Customer

Review

You have excellent team

Oscar Lekule / Customer

Review

the glue tiles and grout I brought from you, make my client to like my work and increase credibility. I will advise my clients to use grout and glue from dar ceramica

Fortes Africa ltd / Contactor

Review

Grout yenu ni nzuri sana kulinganisha na za kampuni nyingine.

ABDUL AYUBU / Fundi

Review

Napenda designs za mixer zenu za bafuni. Nina imani hazipati kutu pia kama mnavyosema.

CASSIAN VULUWA / Normal Customer

Review

Nimependa huduma niliyopewa kwenye usafirishaji wa mzgo wangu. Nimechangia gharama kidogo na nimefikishiwa mzigo kwenye eneo langu la ujenzi.

BRIGHTON NDOSSI / Normal Customer

Review

I LOVE YOUR PRODUCTS . VALUE FOR MONEY

UPUNDA G.L / CUSTOMER

Review

I LIKE YOUR TOILETS, ARE THE BEST

RUTH / CUSTOMER

Review

YOUR PRODUCTS ARE ALWAYS THE BEST. I BOUGHT FOR MY HOUSE MATERIAL FROM DAR -CERAMICA LIKE TOILETS,TILES AND OTHERS ALMOST 10 YEAS AND ITS STILL VERY NEW LIKE YESTERDAY. KEEP IT UP

ODILIA-RUHUWIKO HUNT CLUB / CUSTOMER

Review

YOUR PRODUCTS ARE ALWAYS THE BEST. I BOUGHT FOR MY HOUSE MATERIAL FROM DAR -CERAMICA LIKE TOILETS,TILES AND OTHERS ALMOST 10 YEAS AND ITS STILL VERY NEW LIKE YESTERDAY. KEEP IT UP

ODILIA-RUHUWIKO HUNT CLUB / CUSTOMER

Review

Dar Ceramica Centre, mna sanitary ware nzuri sana,zinadumu na muonekano wake unakua uleule ,ahsanteni

Hill / Manunuzi

Review

Tiles glue ni kitu kipya kwa ujenzi wetu watanzania. Binafsi nimetumia na nimeipenda sana.

Muktaza / Normal Customer

Review

Nilikuwa sina mpango wa kununua bidhaa lakini baada ya kuingia dukani nimejikuta nimevipenda vitu Hadi nikanunua

Modesta Kigutu / Customer

Review

Tumefurahi tumepata tiles yenye ubora tuliokuwa tunautafuta uongozi wa shule umefurahi sana

Lake secondary School / Customer

Review

your items are very nice. I love the quality of all the item and the explanation given to me on all the products were very understandable and clear

Mr / Theneyan

Review

vitu vyenu ni bomba sana. natamani ningewajua mapema. mmenifanya nifikirie kujenga nyumba nyingine ili nipate kila kitu kutoka kwenu hadi vyoo vya kuniny'inia (wall hung)

miss / Janetha

Review

thank you for the good service and delivery

Mr. deusdida / odinary customer

Review

BEST QUALITY PRODUCTS. WILL BUY ALL HOUSE PRODUCTS YOU HAVE THAT I NEED

EVA MASHALA / CUSTOMER

Review

GOOD CUSTOMER SERVICE AND PRODUCTS

ANNAMARRY / CUSTOMER

Review

GOOD CUSTOMER SERVICE AND PRODUCTS

ANNAMARRY / CUSTOMER

Review

YOUR WOODEN TILES ARE THE BEST

GLORY RAY / CUSTOMER

Review

Nimependa strips zenu ni imara sana zote za chini na za ukutani.

Pius / Client

Review

Your toilet and bathrooms accessories are nice ,Thanks Dar Ceramica Centre

Arthur / Client

Review

Walls tiles zenu nzuri sana

Eve / Client

Review

Toilets paper holder nimezipenda ntarudi kuchukua nyengine

Pamela / Client

Review

Mna accessories nzuri

Ceilling / Client

Review

Mixer zenu zenu nzuri sana

Rugarabamu / Client

Review

Mna Bathroom cabinet and basin nzuri sana

John / Client

Review

QUALITY PRODUCTS AND AFFORDABLE

NAOMI / CUSTOMER

Review

GOOD CUSTOMER SERVICE AND QUALITY GOODS

FAITH / CUSTOMER

Review

Nimehudumiwa kwa wepesi bila ata kufika dukani. Asanteni sana.

Florah Kijogoo / Normal Customer

Review

your items are very beautiful and the quality is equivalent to the price.

Mr. Bajaj / customer

Review

Thanks Dar Ceramica team for quality services and product,you have quality and good design tiles both floor and wall. We shall come again.

Mufindi Springs / Client

Review

Mna tiles nzuri sana

Ahimidiwe / Customer

Review

Ahsante kwa tiles nzuri mlizonipa na kunishauri ,ntawaletea rafiki zangu pia.

Grace / Client

Review

Marumaru zenu ukizijenga kila mtu anasifia

John / Fundi

Review

Ninapenda bidhaa zenu. Nilinunua miaka mitano iliyopita hadi leo sijafanya marekebisho yoyote

MERCY / NORMAL CUSTOMER

Review

GOOD CUSTOMER SERVICE

RAYMOND / CUSTOMER

Review

Dar Ceramica Centre mko flexible katika Njia za Malipo. Very helpful.

Miss Lilian / CUSTOMER

Review

Napenda tiles zenu ndio maana kila siku nakuja kununua tiles.

Godfrey Magesa / Customer

Review

Tiles imara sana..Tumetumia kwenye miradi yetu mingi sana.

Nordic Construction Co Ltd / Normal Customer

Review

Tiles imara sana..Tumetumia kwenye miradi yetu mingi sana.

Nordic Construction Co Ltd / Normal Customer

Review

Waranty ya mixer inatupa amani ya kuwaamini na kuamini bidhaa zenu.

MALISA / Customer

Review

Nice strips with good look,thanks

Rose / Client

Review

Floor Silex Gris tiles are nice ,thanks Dar Ceramica

Stella / Client

Review

Nimependa huduma zenu

David / Client

Review

Nimewasikia mda mrefu, watu wengi wanawasifia kwa bidhaa bora.

ABRAHAM / CUSTOMER

Review

Your products are the best.

GENERALI / CUSTOMER

Review

Feedbacks Mna tiles nzuri sana pia nimependa huduma zenu ni nzuri

ABDALLAH / Customer

Review

Feedback mna tiles zenye ubora wa hali ya juu tumezijenga katika shule yetu na zimependeza sana

Anwarite / Customer

Review

The customer Service is wonderful.Wanangu ni wachangamfu sana.

MAMA MOSI / CUSTOMER

Review

i love your products

saidi / Client

Review

Your products are very nice i wish i knew you erlier

Rahma / Client

Review

Nimepata huduma nzuri sana leo dukani kwenu na bidhaa zenu nzuri pia

Mariam / Client

Review

Nimependa bathroom Accessories nilizochukua kwenu nzruri sana

Millenium / Client

Review

nimependa sana tiles zenu nyumba yangu imependeza

Mayasa / Client

Review

You have good products for sure like these wood design tiles I appreciate them

Dr. Simba / Customer

Review

WELCOMING CUSTOMER SERVICE

MUSSA / CUSTOMER

Review

Nawashukuru sana Dar Ceramica kwa huduma zenu na tiles nzuri zinazopendezesha nyumba kwa kweli maamuzi hayaji siku moja ya kununua mmevulia nenda rudi yetu hatimae tumenununua kilicho bora zaidi, Tiles zenu za mbao ni nzuri sana

Amani / Client

Review

Nice toilet with a convincing warranty.

JOHN KERARYO / Normal Customer

Review

Feedback You have the high quality toilets and wash basins i like them so much.

ALLEN / Customer

Review

I DID ENJOY THE WAY YOU HANDLE YOUR CUSTOMER

ADELIMU MROSSO / CUSTOMER

Review

TILES ZENU ZINAVUTIA SANA HASA ZA MBAO

MFAUME / CUSTOMER

Review

Nilinunua choo kwenu mpa leo hakijawahi kusumbua. Vyoo vyenu bora.

Mrs Rose Eliasi / Normal Customer

Review

I loved the information i was provided with, it was so easy to make decisions

Erasto / Alfred

Review

You have high quality products

Mr. G / Ngoba

Review

I am happy to find your showroom near my place, I do not need to drive to town.

GOODLUCK / NORMAL CUSTOMER

Review

Feedback bidhaa zenu ni imara sana tulichukua tiles kutoka kwenu zimekaa muda mrefu na hazivunjiki wala kupauka

Judith / Customer

Review

Feedbacks Dar ceramica centre i like your products because are the best. I appreciate your customer service too.

Irene / Customer

Review

Asante kwa uaminifu nmepata mzigo wangu

Juma Mvamba / Customer

Review

Your water heater are nice.Thanks.

Rose / Client

Review

I like your shower enclosure,thanks Dar Ceramica for good product.

Hussein / Client

Review

Guys,mna kitchen sink nzuri sana hazipati kutu aisee

Malin / Client

Review

Sijawahi pata malalamiko katika kupaka grout zenu kwa wateja wengu.

Swai / Fundi

Review

Nyumba yangu yote itajengwa na tiles toka Spain, thanks Dar Ceramic for good product and customer care

Willium / Client

Review

Tumependa sana Jaccuzy zenu na bei yenu sio mbaya sana.

Fadhili Mohamed Mbulu / Normal Customer

Review

GRANITE IMARA SANA.

MISS HAPINESS / CUSTOMER

Review

My friend inspired me to buy materials from your company. She bought finishing materials from your company 10 years back but still looks good, she has never repaired them.

HELLEN / NORMAL CUSTOMER

Review

I Really enjoy your services

HYZAXY / Client

Review

Tumependa sink zenu za jikoni na bei sio mbaya sana.

Eastenders Limited / Normal Customer

Review

Good customer service and adivise

Kojas builders / Engineer

Review

Nice shower enclosure,thanks .

Hussein / Client

Review

Kwa tiles mko juu Dar Ceramica.

Phares / Client

Review

Nice sanitary ware with affordable price.Thanks

Zena / Client

Review

Your floor tiles are nice ,thanks

Mufindi / Client

Review

Mna huduma nzuri sana kwa wateja.Nimefurahi kuelekezwa kwa undani kabisa.

MR JOEL / CUSTOMER

Review

You have a very nice variety of Jacuzzi and bathtub

RAYMOND / CUSTOMER

Review

Nimependa Cabinet zenu zinaonekana bora ukilinganisha na za China.

Flora Tutu / Normal Customer

Review

Napenda ninapopata huduma bila kufika dukani na mzigo ukanifikia nyumbani.

MWANTUM JUMA MSANGI / Normal Customer

Review

My client like your products, l will come for additional next week

Cf builders / Contractor

Review

Bidhaa ni nzuri sana tofaut na watu wengibe ntarud kwa ajili ya vigae vya nyumba yang ingine

Happiness / Richard

Review

Nyumba yangu imependeza sana, Tiles ni nzuri na zinavutia.

Juma Mvamba / Customer

Review

Nimefurahi bidhaa niliyokuwa na uhutaji nayo ni moja ya bidhaa zilikuwepo kwenye ofa ya Pasaka.

Mayoya / NORMAL CUSTOMER

Review

We love your products, are the best.

Shades Of Green Safaris / Company

Review

Duka lenu kali sana, Dodoma haijawahi tokea.

JOSEPH Haule / CUSTOMER

Review

Your products are differ from others in quality and durability

Kidevu sibale / Engineer

Review

I am impressed with all your products. Particularly the tiles sold in Dar Ceramica Centre.

MISS AGNES / CUSTOMER

Review

Nililipia mzigo na nikaweza kuifadhiwa kwa zaidi ya siku saba kabla ya kuchukua. Huduma nzuri sana.

Dr Joseph Matiko / Normal Customer

Review

Nice tiles with good prices.

Leonard / NORMAL CUSTOMER

Review

Vyoo vizur sana especially wall hung

Loveness / Client

Review

Good services especially at this time of corona virus

Saidi / Client

Review

Huduma nzuri sana.

MISS TEDDY / CUSTOMER

Review

Nazikubali sana bidhaa za Castleware, leo nimenunua beseni la kunawia mikono .

MR FELIX / CUSTOMER

Review

Feedbacks Dar ceramica mnatiles nzuri sana nimeshajenga kwenye nyumba zangu nimeona jinsi gani zinadumu kwa muda mrefu na hazipauki

IBRAHIMU / Customer

Review

Bidhaa ni bora na tunapenda jinsi tunavyohudumiwa.

Afrika Mashariki / Normal Customer

Review

VITU VYENU NI VIZURI SANA TUMEPENDA NA TUTARUDI TENA

MRS. RIDE / NORMAL CUSTOMER

Review

Ubora wa tiles zenu ni wahali ya juu, Asanteni sana

Ombeni / NORMAL CUSTOMER

Review

I LIKE YOUR WASHBASIN AND OTHER PRODUCTS. I WILL COME FOR MORE

BRENDA / CUSTOMER

Review

Feedback DAR CERAMICA NINA WASIFU SANA KWA KUWA NA BIDHAA NZURI SANA .TUMESHANUNUA VYOO VINGI KUTOKA KWENU NA BADO TUNAENDELEA NA UJENZI NITARUDI TENA KUNUNUA VINGINE.

DEOGRATIUS / Customer

Review

Bidhaa zenu ni nzuri, nilizitumia katika nyumba yangu ya Mbeya na sijaona tatizo lolote. Hongera

SAID RAMADHANI / CUSTOMER

Review

Tiles za ukutani nzuri sana na nimependa size zake.

Stanslaus Mutabigwa / Normal Customer

Review

Tumependa kampuni inatoa discount kulingana na order zetu wateja.

Ujenzi and Paints (2000)Ltd / Normal Customer

Review

Nimependa huduma kutoka kwa staffs wenu , nimeelezewa vizuri sana kuhusu bidhaa zenu,

MR SAIDI / CUSTOMER

Review

Dar Ceramica Centre, , am impressed with the choice of products that you display and sell, I am building apartments, i will surely be your customer soon.Thank you in Advance.

MR KIMARIO / CUSTOMER

Review

TILES GLUE YENU NI NZURI SANA

SHIMONI / CUSTOMER

Review

Feedbacks MNA ACCESSORIES NZURI SANA NA ZENYE UBORA

DR.RAHIM / Customer

Review

GOOD CUSTOMER SERVICE AND RPODUCTS

SAFINA / CUSTOMER

Review

Nimefarijika sana na huduma niliyoipata kutoka kwa wafanya kazi wa Branchi ya Arusha na Mwanza. Maana nililipia mzigo Arusha lakini nimekuja mwanza mzigo nimeupata ukiwa vizuri tena salama, hakuna longo longo.

Raphael Mboya / Customer

Review

Good porcelain tiles nimezipenda

Willium / Client

Review

Nimependa shower box zenu modern sana

Adixoil Company / Normal Customer

Review

Nice services thank you

Yes Group / Client

Review

Napenda nikipiga simu naandaliwa order yangu kwa wepesi.

HAMEER / Normal Customer

Review

You have nice tiles

Joseph / NORMAL CUSTOMER

Review

nimefurahia ofa yenu nimepata tiles kwa bei nzuri sana.

Saidi Gagu / Client

Review

QUALITY GOODS, WILL COME FOR SHOWER MIXER

SHEBA / CUSTOMER

Review

Nina uwezo wa kuagiza mzigo nikiwa nyumbani na order ikanifikia. Hii ni huduma bora kabisa.

HAMEER / Normal Customer

Review

YOUR KITCHEN SINK HAS BEST QUALITY AND MANY VARIETIES

SARA / CUSTOMER

Review

Bathrooms accessories zenu zina muonekano mzuri ,ahsanteni

Seleko / Client

Review

Mirror zenu ziko clear sana ,nimezipenda

Maeda / Client

Review

Wash basin zenu za kisasa zaidi,ntakuja kuongeza na nyengine.

Mwendapole / Client

Review

Jamani tiles za Dar Ceramica Centre ni nzuri sana, Nimenunua tiles nyeupe zinaitwa MARMUR GRIS, bafu langu limengáa sana. Saa hivi najiandaa kwa ajili y a JACUZZI.

MISS MARRY / CUSTOMER

Review

Your tiles are classy and beautiful. I hope you got enough stock!

Miss Loveness / Customer

Review

Niliogopa baada ya kutoa advance, sikujua naweza badili mawazo na kubadilishiwa bidhaa! Ahsanteni. Huduma yenu ni nzuri sana

Boniface Bendankeha / Customer

Review

Tiles nzuri sana za ukutani.

Ally Surehman / Normal Customer

Review

Ninachopenda kwenu mteja anaweza kupata discount ata anaponunua bidhaa chache.

kelvin / Normal Customer

Review

Excellent service and thanks for helping on selection

Digna / NORMAL CUSTOMER

Review

Nimenunua vifaa vya nyumba yangu nzima kwenu na nakaribia kumaliza naifurahia nyumba yangu ilivyopendeza

Saphiness / Client

Review

Nimependa Granite top nzuri sana

Valentine / Client

Review

Tiles zenu zimeipendezesha sana nyumba yangu nashukuru kwa huduma nzuri pia

Elibariki / Client

Review

Feedback Dar ceramica mna tiles nzuri sana nimeziweka kwenye nyumba yangu inazaidi ya miaka nane lakini utasema ndo kwanza nimeziweka jana.

Gervas / Customer

Review

VERY NICE QUALITY TOILETS

LILIANI / CUSTOMER

Review

VERY WELCOMING CUSTOMER SERVICE AND GOOD PRODUCTS YOU HAVE

SALLAM / CUSTOMER

Review

Amazing products i appropriate them and services i got from you,

Haricom International Ltd / Client

Review

CUSTOMER CARE YENU NI YA HALI YA JUU SANA,NIMEPENDA

MRISHO MRISHO / customer

OUR BRANDS

 

 

 

  • Create A Shopping Account And Keep Shopping